Ukilewalala
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 542
- 1,112
04:56 am still here
Namalizia hizi dakika chache... Nikaoge then nicheki namna napata pesa baadaeDah ..[emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
Dah...ukipata mchongo niunge na mimi.... hakuna kazi nisiyoiweza 🤭Namalizia hizi dakika chache... Nikaoge then nicheki namna napata pesa baadae
Sio mzima ww [emoji1430][emoji1430][emoji1430]mm ndio natakiwa kukupa support ww kwa juhudi zako ulizozifanya nje huko mpaka mnawekewa posters za kutoruhusu mambo muda wa kazi [emoji23]
Nimefika man. Leo tunakesha wote.Unazani nani atabaki mm ikifika saa 8 nalala mzee wangu.
Uko na vibe huh tulia muda bado😊
Now unanipita 1 hr tu, kwa nini nisiwe na mzuka jombaaUko na vibe huh tulia muda bado[emoji4]
Yaan anacho kipenda swizz beatz basi na mke wake lazima akipende na yy hawa watu wanapendana hatari.Mida ya wanga hii mzee[emoji116][emoji116]
Niko poa bibie.
I'm gud.
Tume break rules so let pop in dude
Niaje