Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Ngoja mm niwaite leo wote.Mimi nina uhakika huyu sio mod,hili tukio sio la kwanza kutokea nadhani wana mpango wa kuupoteza huu uzi....Sijui unawakera nini nashindwa kuwaelewa. Kuna mtu alishaanzisha uzi kam huu humu Alipewa vitasa hapa Akapotea nadhani ndio hawahawa wahuni.