Mzee hulali asee 😂😂0229 CAT
0329 EAT
James Jason
Lindo limekolea
04:51
Patachimbika...Nani kabadilisha jina la uzi wangu? Walinzi mpo wapi Jina la kambi linabadilishwa bila Taarifa....kuna dalili za utekaji hapa sio bure tuwe macho jamani.
Pole mlizi veteran! Kwema jirani?Msione sikeshi nanyi mkadhani ninafanya makusudi, 'moyo u radhi ila mwili ni dhaifu'
Sent using Jamii Forums mobile app