JamiiForums Usiku wa manane
unataka ban nakuona kabisa ww unawachongea MOD ilakungekuwa na sehemu ya kuomba ningeomba niwe MOD wa usiku tu.
😀😀😀 kuna kipindi lilizuka wimbi la watu humu kuomba ban kwa sababu zao binafsi, ila mods wakawa hawawapigi ban na wahusika wakawa wanalalamika kwa uongozi wa jf kuwa kwa nini hawawapigi ban wakati wanaomba kwa hiari yao. Basi mimi nikajitokeza kuumba uongozi wa jf unipe umod na kazi yangu iwe ni kutoa ban kwa yeyote atakayeomba lakini sikufanikiwa, waliishia kicheka tu. Jaribu mkuu, huenda ukapata zali.
 
kuna kipindi lilizuka wimbi la watu humu kuomba ban kwa sababu zao binafsi, ila mods wakawa hawawapigi ban na wahusika wakawa wanalalamika kwa uongozi wa jf kuwa kwa nini hawawapigi ban wakati wanaomba kwa hiari yao. Basi mimi nikajitokeza kuumba uongozi wa jf unipe umod na kazi yangu iwe ni kutoa ban kwa yeyote atakayeomba lakini sikufanikiwa, waliishia kicheka tu. Jaribu mkuu, huenda ukapata zali.
nitajaribu niombe niwe MOD wa content tu. Nakupa onyo mara 3 tu futa ulichoandika ukiwa mbishi unakula ban safi tu.
 
nitajaribu niombe niwe MOD wa content tu. Nakupa onyo mara 3 tu futa ulichoandika ukiwa mbishi unakula ban safi tu.
😀😀😀😀
Sijui wametusikia, naona kuna mmoja kaamka. Sasa jf yote ataimudu pekeyake! Angeendelea kulala tu. Mkuu Fang we kalale tu, sisi hatufanyi fujo yoyote, pumzika ili upate nguvu kwa ajili ya kesho.😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom