Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] tutawapikia na chai kabisa na kuhakikisha rooms zote zimefagiwa na kupigwa deki.Kesho asubuhi wataikuta salama kabisa, ikifika saa kumi na moja tutafagiafagia na kupanga viti vya wajumbe kwa ajili ya mijadala ya kesho. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]