Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
[emoji23][emoji23] pambana tu maana hakuna mshahara wa bure.Mhh nitajitahidi
[emoji23][emoji23] pambana tu maana hakuna mshahara wa bure.Mhh nitajitahidi
Hayo ya mods naandika kwa herufi kubwa na nayapigia mstari. Ili nikipigwa ban itabidi tugawane adhabu.😀😀[emoji23][emoji23][emoji23] usisahau na watoro mzee wangu peleka na majina ya MOD nayo usisahau sasa.
Usije ukashangaa mkafika hadi season ya 12 wazungu wapuuzi sana story haziishagi.Now finished Game of thrones season 8 episode 6. Final
Kitambo sana..back in January to Feb 2019 nilikuwa active mpaka nikaona najitesa ikabidi niwe naforce usingizi maana niliona naelekea pabayaDuh!😄 na wewe pia ni mdau humu?!
Haina noma[emoji23][emoji23] pambana tu maana hakuna mshahara wa bure.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani ww sindio kiranja wa zamu leo kwahiyo report zote za leo utapeleka ww.Hayo ya mods naandika kwa herufi kubwa na nayapigia mstari. Ili nikipigwa ban itabidi tugawane adhabu.[emoji3][emoji3]
Duh!! Kweli mdau.Kitambo sana..back in January to Feb 2019 nilikuwa active mpaka nikaona najitesa ikabidi niwe naforce usingizi maana niliona naelekea pabaya
Zurri
chaliifrancisco
bbade
SHIMBA YA BUYENZE
Chumchang Changchum
Nawakumbuka wapendwa
Haha me ntaLog out dk chache zijazoDuh!! Kweli mdau.
Acha niwaachie jukwaa lenu muendelee kuvimba.
Maybe next time, nitajumuika nanyi tena.
Goodnight hommie.Duh!! Kweli mdau.
Acha niwaachie jukwaa lenu muendelee kuvimba.
Maybe next time, nitajumuika nanyi tena.
Kazi yangu leo itakuwa ngumu sana. Nimepita kule wenye jengo la MMU nimekuta mipira, sijui nani katoka kuliwa kimasihara. Ripoti ra kesho itakuwa chafu sana😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] kwani ww sindio kiranja wa zamu leo kwahiyo report zote za leo utapeleka ww.
Much love pal [emoji109]Sign out until next time!
#appreciate[emoji109]
Mbu wamefurahije mkuu😀😀😀, walikuwa wanapata tabu sana kukulia timing.Sign out until next time!
#appreciate👊
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi usiku wa kulana kimasihara upo kweli unafaa kuwa kiranja wa zamu naona mpaka kufika asubuhi file litakuwa limejaa vzr tu.Kazi yangu leo itakuwa ngumu sana. Nimepita kule wenye jengo la MMU nimekuta mipira, sijui nani katoka kuliwa kimasihara. Ripoti ra kesho itakuwa chafu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo saiz wanasheherekea kufonyza bila ya kupata usumbufu wowote.Mbu wamefurahije mkuu[emoji3][emoji3][emoji3], walikuwa wanapata tabu sana kukulia timing.
Wanajimwambafy tu. 😀😀😀😀 Hapa kwangu nawaona wanazurura bila mpango, wana stress. Hii surprise ya leo hawakuitarajia kabisa. 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo saiz wanasheherekea kufonyza bila ya kupata usumbufu wowote.
Operation yako ya fichua maovu naona inafanya kazi vzr ipasavyo [emoji38][emoji38]Wanajimwambafy tu. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hapa kwangu nawaona wanazurura bila mpango, wana stress. Hii surprise ya leo hawakuitarajia kabisa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]