Bangsweezy
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 880
- 202
Kuwa alone ucku huu kunauzi sana Yani. I need support in this heavy night
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka uwenanani labda usiku huu?Anza aisee yani mimi kidogo sasa hivi nimeiva nadhani nitaingia hata kwenye timu ya chuo miezi michache ijayo japo competition ni kubwa sana.Dribbling, shooting range, pumzi vyote vitaitaji muda iliniweze kuwa sawa.
Saa 12 huku jioni

ndo unaongoza kwa kukesha
Ladies and gentlemen
Niwatakie usiku mwema.
Nawaachia manyoya tu.hiko ndio kitu muhimu unatakiwa kuwa nacho mwamba mambo ya kizidi unatimua vumbi tu.