Nani id yake?
mm naplay both SG & PG kote ukiniweka sawa position huwa siipendi ni playmaker tu.Shooting guard katika timu ya chuo hapa Garten boss
Ngoma nyingi ni za Jaden humo.[emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]View attachment 1353942
Gud babe,how yo doing?
Na kwako pia gal.
The night is still young
Na leo unaexcuse kama kawaida yako [emoji4]
[emoji23][emoji23] naona muda wa Hamida kukuita unakaribia.Master Villa ..unataka niwe nakimbia lindo mazima maana haya maswali ni mazito fam [emoji16][emoji16]