simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
naona muda wa Hamida kukuita unakaribia.
hamida ni aina ya mashuka na mito au 😂😂 maana ndo nilivyonavyo saa hii
naona muda wa Hamida kukuita unakaribia.
Kama nakuona hapo zile pillow talkhamida ni aina ya mashuka na mito aumaana ndo nilivyonavyo saa hii



we tamba tu.Kama nakuona hapo zile pillow talkwe tamba tu.
pillow talk hata tu zile za video call hakunaga.. mzee usinikumbushe kile kitu nimemiss![]()


Valentine's inakuja mzee wangu embu changamka fanya mchakato Ee..Valentine's inakuja mzee wangu embu changamka fanya mchakato Ee..
Asante....nipo.
Dah..! Afadhali umekuja kuimarisha lindo, nimefarijikaAsante....nipo.
Za huko kwako?
Safi acha tumsubirie yesu tu kama vp.nshangamka lkn wapi ..nimeamua kuisubiria kwaresma tu![]()
true .tunaingoja pepoSafi acha tumsubirie yesu tu kama vp.
Dah..! Afadhali umekuja kuimarisha lindo, nimefarijika
Huku kwema mkuu, hbr za u dayasporani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafanyia wapi mazoezi mgambo?mm naplay both SG & PG kote ukiniweka sawa position huwa siipendi ni playmaker tu.
No ni mwaka sasa sijagusa court naimiss sana nakaa ukonga kuna kiwanja kipo karibu kabisa na mm lakini mambo ni mengi.Unafanyia wapi mazoezi mgambo?
Aisee inabidi urudi unaweza kujikuta hata pivot huwezi tena au dribbling inakuwa ya ajabuNo ni mwaka sasa sijagusa court naimiss sana nakaa ukonga kuna kiwanja kipo karibu kabisa na mm lakini mambo ni mengi.
Nacheza for funny tu lakini mm nishakiki wa The Bay team Curry.
Dribbling, shooting range, pumzi vyote vitaitaji muda iliniweze kuwa sawa.Aisee inabidi urudi unaweza kujikuta hata pivot huwezi tena au dribbling inakuwa ya ajabu