simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Mnatuonea asee na wengi hamjawahi hata kufika mnapasikia tu...Tmk ndio kwenye huko kwa visingeri mnaongoza dar nzima.
Mnatuonea asee na wengi hamjawahi hata kufika mnapasikia tu...Tmk ndio kwenye huko kwa visingeri mnaongoza dar nzima.
[emoji23][emoji23] Dah poa kesho acha ninywe maji yangu ya rangi tu maana sukari ni adimu kweli kweli.[emoji23][emoji23][emoji23] vigezo na masharti kuzingatiwa
[emoji23][emoji23][emoji23] aah wapi nimeshuhudia hilo mwenye kwa macho yangu mzee.Mnatuonea asee na wengi hamjawahi hata kufika mnapasikia tu...
Vp mlevi?
Naona upo unalinda pembeni ukiwa na chupa yako ya mvinyo hapo.
Dah umeingia lindoni na vybe yakutosha kelele nyingi sana hope your fine gal?
Nipo vyema..vere vyemaDah umeingia lindoni na vybe yakutosha kelele nyingi sana hope your fine gal?
Hiyo hype ulikuwa nayo leo sio mchezo.
Nipo hapa naona kwako weekend bado inaendelea.Mimi niko china bar tegeta -nakesha
Nani mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23]
Shooting guard katika timu ya chuo hapa Garten bossUnacheza position gani ww bball au ni shabiki tu wa uchebe?