Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
[emoji23][emoji23][emoji23] gud boi yeah kumbe na ww unapenda Hip Hop basi sawa.Unanijua unaniskia
[emoji23][emoji23][emoji23] gud boi yeah kumbe na ww unapenda Hip Hop basi sawa.Unanijua unaniskia
Anaambiwa te quiero muche [emoji23][emoji23]Yupo na Hamida wa ulaya huko [emoji4]
Dah mm nilikuwa sijui babu apumzike kwa amani.Yeah alipata ajali mbaya ya Gari
Maeneo ya kibaha
Huwa namkumbuka sanaa nikiuona huu uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaambiwa te quiero muche [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] sio fan mzee ila napenda good music yoyote ile japo dance hall inanikamata juu kiasi kuliko genre zingine[emoji23][emoji23][emoji23] gud boi yeah kumbe na ww unapenda Hip Hop basi sawa.
Umeniambukiza kuchangamka [emoji23][emoji23][emoji23]. Itabidi unijibie tuhuma, kwa nini umenifundisha tabia mbaya[emoji23][emoji23][emoji23] aah pumbafu sana ww atakuja ajibu hizi tuhuma zako wait n see.
mm ni Hip Hop, RnB na Pop ndio napendelea sana.[emoji23][emoji23][emoji23] sio fan mzee ila napenda good music yoyote ile japo dance hall inanikamata juu kiasi kuliko genre zingine
Tabia mbaya unazijua ww [emoji23][emoji23][emoji23]? Alafu unanisingizia usiku wote huu mm ndio nimekufundisha!.Umeniambukiza kuchangamka [emoji23][emoji23][emoji23]. Itabidi unijibie tuhuma, kwa nini umenifundisha tabia mbaya
Mimi zinaenda na moods mzee.. kuna siku naweza shinda naskiiza aina moja ya muziki ila sio taarabmm ni Hip Hop, RnB na Pop ndio napendelea sana.
Usijisahaulishe mkuu.. kumbuka nilikuwa mtu straight forward ila ww ukanifundisha kuchangamkaTabia mbaya unazijua ww [emoji23][emoji23][emoji23]? Alafu unanisingizia usiku wote huu mm ndio nimekufundisha!.
[emoji23][emoji23][emoji23] mipasho hutaki na zile wanazovaa dera kule kwenu TMK zinapigwa sana.Mimi zinaenda na moods mzee.. kuna siku naweza shinda naskiiza aina moja ya muziki ila sio taarab
[emoji23][emoji23][emoji23] nikisema sizijui ntakuwa muongo maana casettes zilikuwa kibao. Na kuna zingine zinaskiizwa kila mara hadi unaikariri vizuri tu[emoji23][emoji23][emoji23] mipasho hutaki na zile wanazovaa dera kule kwenu TMK zinapigwa sana.
Basi njoo pm huku utume hela ya supu ya kongoro [emoji23]Usijisahaulishe mkuu.. kumbuka nilikuwa mtu straight forward ila ww ukanifundisha kuchangamka
Hilo tu.. nakuja ila unitumie namba na nakala ya kitambulisho chako cha NidaBasi njoo pm huku utume hela ya supu ya kongoro [emoji23]
[emoji23][emoji23] vp kisingeri mwamba?[emoji23][emoji23][emoji23] nikisema sizijui ntakuwa muongo maana casettes zilikuwa kibao. Na kuna zingine zinaskiizwa kila mara hadi unaikariri vizuri tu
Vyote vinausika na nn tena hivyo namba ya simu inatosha tu hiyo ya nida umeshakuwa tapeli siku hizi ww?Hilo tu.. nakuja ila unitumie namba na nakala ya kitambulisho chako cha Nida
[emoji23][emoji23] hizo nazijua baadhi pia ila sio fan mkuu.. maana style zake za uchezaji tu ni kwikwi plus sihudhurii vigodoro[emoji23][emoji23] vp kisingeri mwamba?
[emoji23][emoji23][emoji23] vigezo na masharti kuzingatiwaVyote vinausika na nn tena hivyo namba ya simu inatosha tu hiyo ya nida umeshakuwa tapeli siku hizi ww?
Tmk ndio kwenye huko kwa visingeri mnaongoza dar nzima.[emoji23][emoji23] hizo nazijua baadhi pia ila sio fan mkuu.. maana style zake za uchezaji tu ni kwikwi plus sihudhurii vigodoro