Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Mbona mapema sana?
Mbona mapema sana?
Poa yaishe kaka mkubwa [emoji23] nawezaje kutukana wahisani mm.[emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuu..najua umeelewa, haya piga kimya la sivyo hutopata mkopo
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.. huez kuwa maskini na jeuri at the same timePoa yaishe kaka mkubwa [emoji23] nawezaje kutukana wahisani mm.
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio hapo sasa alafu huyu masikini jeuri kwani ulishawahi kumuona?[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.. huez kuwa maskini na jeuri at the same time
Mwamba Rip ya nn tena?
Naishi nao [emoji23][emoji23].. mtu hana hata senti lakini hanyenyekei mtu[emoji23][emoji23][emoji23] ndio hapo sasa alafu huyu masikini jeuri kwani ulishawahi kumuona?
Karibu mkuu japo hiyo RIP
Naamka mapema kesho nna issueMbona mapema sana?
[emoji23][emoji23][emoji23] kizazi jeuri hiko.Naishi nao [emoji23][emoji23].. mtu hana hata senti lakini hanyenyekei mtu
Poa usiku mwema na kwako pia.Naamka mapema kesho nna issue
Kuna manzi tulikuwa tunakesha naye kwenye huu uzi alivutaga aseeehMwamba Rip ya nn tena?
[emoji15] Aah!Kuna manzi tulikuwa tunakesha naye kwenye huu uzi alivutaga aseeeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa fukara kamwe huwezi kuwa kiburiNaishi nao [emoji23][emoji23].. mtu hana hata senti lakini hanyenyekei mtu
Pole brotherKuna manzi tulikuwa tunakesha naye kwenye huu uzi alivutaga aseeeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah alipata ajali mbaya ya Gari[emoji15] Aah!
Unanijua unaniskiaUkiwa fukara kamwe huwezi kuwa kiburi
Maskini jeuri ni msemo tu
Usiuweke kwenye akili
Mwanaume kuwa tajiri ni kama demu kuwa mzuri
Demu wako akiwa kwenye kioo we piga simu utafute deal
Hela hazilali so ukilala wewe tu
Na zina kasi ya kutengenezwa hazikungoji uamke mkuu
Unaijua hiyo nyimbo? Na hiyo verse aliimba nani?
Nani id yake?Kuna manzi tulikuwa tunakesha naye kwenye huu uzi alivutaga aseeeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo na Hamida wa ulaya huko [emoji4]Sanaàa yani damuni [emoji23][emoji23][emoji23]
Champ ngoja nikuachie lindo.. ilibd nivute vute muda na Drizzle najua yupo na sinyoritha.. akiachiwa huru atatokea