Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Kulala utalala ila muda ndio haujulikani sasahakuna Cha ubora wowote..nipo kitandani alafu Sina usingizi..inaumiza kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app

.Kulala utalala ila muda ndio haujulikani sasahakuna Cha ubora wowote..nipo kitandani alafu Sina usingizi..inaumiza kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app

.Nalazimisha mapenzi na usingiziunakipenda ila we ndio huupendi tu.
Karibu lindoni
Likizo tu vitu hv vinaumiza sana alafu wengine huwa hatujui kupenda nusu nusuunaingia mwili mzima kichwa mpaka miguu sometime unaona acha niweke kando kwanza hv vitu.

eti hujui kupenda nusunusu..ila mapenzi bwana mmhh! Yanaumiza Sana.Kulala utalala ila muda ndio haujulikani sasa.


Hilo nalo neno..alafu muda umavyozidi kwenda ndiyo usingizi unapotea kabisaa Nalazimisha mapenzi na usingizi
eti hujui kupenda nusunusu..ila mapenzi bwana mmhh! Yanaumiza Sana..wengine hadi tunashindwa kulal
Sent using Jamii Forums mobile app

unataka kufa ww piga misosi bhana achana na stress hizo.Unaratiba ya kwenda church kwani au ww sio mkristu?Hilo nalo neno..alafu muda umavyozidi kwenda ndiyo usingizi unapotea kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkristo..Sina ratiba ya kwenda church kwakweliUnaratiba ya kwenda church kwani au ww sio mkristu?
Mara ya mwisho ulienda lini?
unataka kufa ww piga misosi bhana achana na stress hizo.

Natamani ingekuwa rahisi ivyo.Kwani ugumu unatokea wapi bibie?
Aah!


umegombana na padre nn huko church maana unakaribia mwaka sio kwa uvivu huo.Aah!umegombana na padre nn huko church maana unakaribia mwaka sio kwa uvivu huo.


hamna bwana..Ila nimecheka dah!!..

unampenda mtu mpaka unataka utoe uhai wako aah hio ni too much.Usikae mbali sana na mungu weka hata ratiba ya mara 1 kwa kila mwezi tu hapo mbona simple.
Nitaianza mwezi MarchUsikae mbali sana na mungu weka hata ratiba ya mara 1 kwa kila mwezi tu hapo mbona simple.