Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Waoh!!...inapendeza Sana..wifi kapata kitu chema.Vyote vyote naweza niko 50-50 caring ndio niko 100% kushinda vyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waoh!!...inapendeza Sana..wifi kapata kitu chema.Vyote vyote naweza niko 50-50 caring ndio niko 100% kushinda vyote.
[emoji23][emoji23] aah wapi.
Vp mzee wangu, kwema?Duuuuh!
[emoji23][emoji23][emoji23]unabishaa[emoji23][emoji23] aah wapi.
Nabisha kabisa kwenye hili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya weh!Nabisha kabisa kwenye hili.
Inamaa mm na ww tu ndio hatujalala [emoji23] humu tu.
Kuna mmoja anasinzia hapo juu..ila tulio machokodo ni me n youInamaa mm na ww tu ndio hatujalala [emoji23] humu tu.
Aah haya tutaujaza mm na ww mapaka post zifike laki kwenye huu uzi. Let's go gal.
[emoji23][emoji23] unakipenda ila we ndio huupendi tu.Usingizi mpenzi nakupenda ila ww hunipendi
Hivi unaanzaje kuwa macho kiasi hicho na wifi kalalaAah haya tutaujaza mm na ww mapaka post zifike laki kwenye huu uzi. Let's go gal.
Nimekuwa single since toka Feb mwaka jana mpaka saiz nafika mwaka sasa.
Why single kwa muda mrefu ivyo?Nimekuwa single since toka Feb mwaka jana mpaka saiz nafika mwaka sasa.
Bora we upo hata kitandani hapo mm ndio kwanza nipo kwenye TV saiz kitanda kipo mbali sana.Ila hii hali ya kushtuka usingizini inachosha kwakweli..wengine wapo ndoto ya 10 Mimi ndiyo kwanza nipo jf usiku wa manane[emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna Cha ubora wowote..nipo kitandani alafu Sina usingizi..inaumiza kwakweliBora we upo hata kitandani hapo mm ndio kwanza nipo kwenye TV saiz kitanda kipo mbali sana.
Likizo tu vitu hv vinaumiza sana alafu wengine huwa hatujui kupenda nusu nusu [emoji23] unaingia mwili mzima kichwa mpaka miguu sometime unaona acha niweke kando kwanza hv vitu.