JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Huwa unaona aibu kwenda kucheza [emoji23][emoji23].. nashukuru Mungu kwenye familia yangu labda mm kidogo ndo nna aibu wengine wakishafyatuka kwa gambe.huez ongea kitu
[emoji23][emoji23] jinsi navyo vaa huwa nikicheza mziki basi nitaharibu kila kitu maana ninamiuno hata ya kangi lugola haingii ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom