Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Mimba za utotoni hizoView attachment 1345874
Saw this somewhere on Saturday and i was like, wtf? [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimba za utotoni hizoView attachment 1345874
Saw this somewhere on Saturday and i was like, wtf? [emoji16][emoji16]
Miaka 30 inamhusu kiumbe hapo.Yapo mawili na sio moja.View attachment 1345876
Aah mtt kamzaa mtt ndio hii sasa.Yapo mawili na sio moja.View attachment 1345876
Noma sana, nasikia barabara hazipitiki kabisa. Ila kipindi hiki imepiga na inaendelea kupiga.
Shukrani kaka.. kunaendaje pande hizo
Tupo macho na hii mvua vikombe vya kahawa na kashata vitatuhusu kabisa leo.Leo walinzi mmelala
Kesho au kesho kutwa jua likitoka kama kawaida yao watapeleka cat kutoa matope kwenye barabara.Noma sana, nasikia barabara hazipitiki kabisa. Ila kipindi hiki imepiga na inaendelea kupiga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar huwa kuna baridi kwani.. kuna sehemu ukienda msimu wa baridi hata maji huez kuoga [emoji4][emoji4]Tupo macho na hii mvua vikombe vya kahawa na kashata vitatuhusu kabisa leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Af huwa najiuliza hivi aliyeshauri kituo cha mwendokasi kiwe pale na barabara iwe chini vile ni mtz kweli au ndo mambo ya wachinaKesho au kesho kutwa jua likitoka kama kawaida yao watapeleka cat kutoa matope kwenye barabara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema mkuu, ndio napata lunch ya prawns now. Karibu tujumuike.Shukrani kaka.. kunaendaje pande hizo
[emoji23][emoji23][emoji23] ushaaza habari zako, ukishazoea sana joto siku kama yaleo mvua imenyesha tu kuna kaupepo kaubaridi hv kweli unaweza vaa fullneck yako au pullover.Dar huwa kuna baridi kwani.. kuna sehemu ukienda msimu wa baridi hata maji huez kuoga [emoji4][emoji4]
Watoto wa dar kimvua kidogo mnachemsha maji na mnavaa makoti makubwa
That's their usual task kipindi cha mvua but no permanent solution in place.Kesho au kesho kutwa jua likitoka kama kawaida yao watapeleka cat kutoa matope kwenye barabara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks bruh...Kwema mkuu, ndio napata lunch ya prawns now. Karibu tujumuike.
View attachment 1345888
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo utakuta ametoa lile duvet lake huko chini ya uvungu, kesho analirudisha coz halina kazi tena.Dar huwa kuna baridi kwani.. kuna sehemu ukienda msimu wa baridi hata maji huez kuoga [emoji4][emoji4]
Watoto wa dar kimvua kidogo mnachemsha maji na mnavaa makoti makubwa
Nilikuwa nakuchangamsha tu [emoji23][emoji23][emoji23].. nililimiss lindo kimtindo[emoji23][emoji23][emoji23] ushaaza habari zako, ukishazoea sana joto siku kama yaleo mvua imenyesha tu kuna kaupepo kaubaridi hv kweli unaweza vaa fullneck yako au pullover.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kula ndio inatufanye tuhangaike hadi kwa mabeberu.Thanks bruh...
Huwa nakuona pia kwenye thread ya kusnap. Unapenda menyu mkuu [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] na mm huwa najiuliza swali kama lako hivyo hivyo na majibu nakosa maana huwa najua sehemu kama hile kabla hapajengwa inaanzaAf huwa najiuliza hivi aliyeshauri kituo cha mwendokasi kiwe pale na barabara iwe chini vile ni mtz kweli au ndo mambo ya wachina