Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,970
Hii mvua inanitia dhambi sana usiku kama huu, nakaaje sasa lindo bila hata mhindi wa kuchoma????
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Au?Hii mvua inanitia dhambi sana usiku kama huu, nakaaje sasa lindo bila hata mhindi wa kuchoma????
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa kilichotokea leo hii mvua ilikuwa ya hatari mno.Hii mvua inanitia dhambi sana usiku kama huu, nakaaje sasa lindo bila hata mhindi wa kuchoma????
Sent using Jamii Forums mobile app
Yapo mawili na sio moja.