Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] picha itawatesa sana mkiniona wazee.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] picha itawatesa sana mkiniona wazee.
[emoji23][emoji23] nyama nayopenda ni haram hommie
Labda nione kapicha kwanza coz mimi ni tomaso [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embu wasilisha hapa unachofikiria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa papaaa[emoji23][emoji23] suti alafu huwa inaniletea joto kinoma sana ukishaingia dance floor pale ukishaanza kucheza jasho hili hapa inakuwa balaa tena hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]aaah wapi kweli huwa naenjoy sana chakula nachopika mwenye.
Tuma picha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] picha itawatesa sana mkiniona wazee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi ulivyopiga mayenu au kuna jingine?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] picha itawatesa sana mkiniona wazee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kudos bro.. menyu muhimuNi kweli, ila kwangu no matter what, kula ndio first priority. Na misosi iwe varieties na ila ladha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kama Hamida yupo pembeni hapo ndio anakusumbua.Hahaaaaaa hapana broder... nishasanda saa hii
[emoji23][emoji23] ingekuwa hivyo ningechat hadi saa hii. Muulize mshana tunaochat saa hii tuna tabia gani
[emoji23][emoji23][emoji23] embu sema kwa sauti nisikie tena?[emoji23][emoji23] nyama nayopenda ni haram hommie
Halafu pia unakula mwenyewe? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]aaah wapi kweli huwa naenjoy sana chakula nachopika mwenye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina Hamida maana yule ni jini.. staki kupebda kiasi kile
we jana umeweka yako kisha ukaifuta [emoji23][emoji23] anzeni zenu kwanza hapo ww na simissLabda nione kapicha kwanza coz mimi ni tomaso [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Winter imeanza toka mwezi November, tunatarajia spring inaanza March.