JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nishakushtukia mzee baba. Unataka uje unichapie my wife wangu nini? Niko na discipline ya kula kwa ajili ya mwili. Nikisikia tu naambiwa na watu wawili au watatu kuwa nimenenepa, naweza nisile mwezi mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ogopa hizi namba zinazojifanya descent.. wanakulaga kimasikhara [emoji16]
 
Nishakushtukia mzee baba. Unataka uje unichapie my wife wangu nini? Niko na discipline ya kula kwa ajili ya mwili. Nikisikia tu naambiwa na watu wawili au watatu kuwa nimenenepa, naweza nisile mwezi mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] embu ngoja [emoji113]kwanza ulipika wali na samaki teyari au bado?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom