Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,440
- 110,060
Bila shaka upo wamsikiliza mzee wa yoooooohHakati uzi kwa fujo?
dodge
Bila shaka upo wamsikiliza mzee wa yoooooohHakati uzi kwa fujo?
dodge
Niliita nikaona kimya nikajua tayari ushatepeta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila ulikaza sana [emoji122][emoji122]Mzee wangu jana nalala huku sitaki kabisa napambana niamke lakini wapi kichwa kimegoma kabisa usingizi sio mchezo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vatican ya sasa hvi ni legevu sana..
Francis sijui ni expendable nini..! Very weak
[emoji23][emoji23][emoji23] leo niko na maji tu hapa.Wale wazee wa kutoa support lindo tushafika. Hakikisha una kinywa chako karibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa majiDah yan leo nasikia njaa kichizi.
Nakula wapi, nakula wap.
Kilichobaki nitakula vyombo sasa .[emoji48]
Beggars can't be choosers
Nishapiga lunch hapa nipo mzima sana kuangalia lindo linaendeleaje
Hapana, huwa nakula mapema tuu saa (3-4).
Kweli kabisa mwana ni mchangiaji mzr sana kwenye hizo foundation.Ana roho tu ya utu kama J.K.Rowling maana pesa zake nyingi anamalizia kwenye Charity
Napenda roma ya kipindi kile..ikiwa Roka kweli..serikali ya dunia.
ImetamanishaNishapiga lunch hapa nipo mzima sana kuangalia lindo linaendeleaje View attachment 1343886
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila umenena mkuu. Ukiwa nae , mapenzi yakiwa motomoto unaweza usisikie njaa.Shida nyingi zitakwisha..
Jiulize kwanini mwanamke aumbwe ajili ya mwanaume?
Monie ndio naona post yako nikajua na ww ushatepeta huko ulipo [emoji23][emoji23]Niliita nikaona kimya nikajua tayari ushatepeta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila ukikata sana [emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona umetoa dp ya mzinga mzee wangu?
Bila shaka upo wamsikiliza mzee wa yooooooh
Karibu lunch mkuuDah yan leo nasikia njaa kichizi.
Nakula wapi, nakula wap.
Kilichobaki nitakula vyombo sasa .[emoji48]
Beggars can't be choosers
Ukweli ni kwamba mwanaume ana mapungufu mengi ambayo yanaweza kuzibwa na mwanamke tu.Ila umenena mkuu. Ukiwa nae , mapenzi yakiwa motomoto unaweza usisikie njaa.
Beggars can't be choosers