Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Series hua sishushi nitamuuliza mtu mmoja kama anazoSpartacus
Rome
I need this
Series hua sishushi nitamuuliza mtu mmoja kama anazoSpartacus
Rome
I need this
Nitashukuru sanaSeries hua sishushi nitamuuliza mtu mmoja kama anazo
Kuna jamaa hapa, amelala anaota huku anatoa sauti.
Beggars can't be choosers


ulalaji mbaya sana huo.
Oa mkuuDah yan leo nasikia njaa kichizi.
Nakula wapi, nakula wap.
Kilichobaki nitakula vyombo sasa .
Beggars can't be choosers
Nashukuru kama umeelewa kuna watu hawataki kabisa maisha yao wafuatiliwe lakini mtu kama keanu hana atampango anapenda maisha ya kujichanganya.Point ni kua wengi wanashindwa ku maintain famous. Mwisho wanaishia kubaya
Hahahaha, nikioa nitakula mke et?Oa mkuu
Keanu namwelewa sana huyu jamaa..na Kit Harington. Walivyo tu!Nashukuru kama umeelewa kuna watu hawataki kabisa maisha yao wafuatiliwe lakini mtu kama keanu hana atampango anapenda maisha ya kujichanganya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani daily muda huu ndio wakula kwako?Dah yan leo nasikia njaa kichizi.
Nakula wapi, nakula wap.
Kilichobaki nitakula vyombo sasa .![]()
Beggars can't be choosers
Shida nyingi zitakwisha..Hahahaha, nikioa nitakula mke et?
Beggars can't be choosers
Hujawahi kushindwa. Tayari nipo hapa.kama nitalala lakini nitaakikisha asubuhi nione post yako ikiwa ya mwisho ukifunga lindo mzee wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu kwetu hapaLindoni 0020hrs
Yaan hao ingekuwa huku kibongo land tungesema wale watu waswahili ujue maana keanu na pesa zote alizonazo muhuni anapanda train kitu ambacho sio rahisi kwa mastaa wa mbele.Keanu namwelewa sana huyu jamaa..na Kit Harington. Walivyo tu!
Napenda sana watu cool, wasio na makuu (Passivenes )
Ana roho tu ya utu kama J.K.Rowling maana pesa zake nyingi anamalizia kwenye CharityYaan hao ingekuwa huku kibongo land tungesema wale watu waswahili ujue maana keanu na pesa zote alizonazo muhuni anapanda train kitu ambacho sio rahisi kwa mastaa wa mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wangu jana nalala huku sitaki kabisa napambana niamke lakini wapi kichwa kimegoma kabisa usingizi sio mchezo


