JamiiForums Usiku wa manane
Mfuasi: Ni furaha gani aliyonayo mwanamke aliyekuzaa na kukulea?
Yesu: Ni furaha gani waliyonayo wale wanaolishika neno la Mungu?

This guy was definitely smartest person Ever! I like this guy, I will try to do what he said.
My role model..The Greatest man in Universe.
Good try,

Beggars can't be choosers
 
Ni kweli. Ila nachokataa ni kua baada ya kucheza hii muvi ndio aliinza kua mlevi..
Ndio mzee unajua hiyo movie ilimfanya amekuwa famous sana sio wote wanaweza kuishi kwenye hayo maisha ya fame, hususa hiyo character aliyoicheza humo ni hatari lazima watu wakufuatilie sana kujua unaishije na unafanya nn ukishakuwa fame kuzungumziwa vibaya na watu nikawaida sasa ile inaweza leta frustrations, Depression nk..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point ni kua wengi wanashindwa ku maintain famous. Mwisho wanaishia kubaya
 
Back
Top Bottom