JamiiForums Usiku wa manane
Kuna msosi unaitwa hot pot maarufu sana msimu wa baridi. Hiyo mzee baba ni noma. Inaliwa ikiwa jikoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naonaga zile photo zao lakini sijawahi kujua jina la hiyo menu leo ndio umeniambia hapa.

Kwahiyo hiyo menu kitendo cha kuchota mpaka kufika mdomoni kimepoa kutokana na baridi?

Inakuwa ya moto hivyo unakuwa unapuliza kimtindo na nyingine inakwenda poozwa na mate. Halafu pia kuna baridi hivyo inapoa faster.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom