Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,229
- 40,726
Usiku mwema ndugu zangu,Mungu akipenda baadaye (kesho)
Sijui ngoja tuone.Zitafika kabla ya June
Vp Mr P bado ajashtuka kutoka usingizini na kupinga kelele? [emoji23]
Poa dude na kwako pia.Usiku mwema ndugu zangu,Mungu akipenda baadaye (kesho)
Vp Mr P bado ajashtuka kutoka usingizini na kupinga kelele? [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo kitu sio mchezo nikama nusu kaputi.
[emoji3][emoji3] aisee kama ni hivyo huyo wamemsafisha ngoja asubuhi nitajua tu hali ikoje[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo kitu sio mchezo nikama nusu kaputi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] aisee kama ni hivyo huyo wamemsafisha ngoja asubuhi nitajua tu hali ikoje
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuwa wameacha zuria tu chini wahuni.[emoji3][emoji3] aisee kama ni hivyo huyo wamemsafisha ngoja asubuhi nitajua tu hali ikoje
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuwa wameacha zuria tu chini wahuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakisafisha chumba chote noma babu acha wabaki hata mende
Km kawaida...naskia hawajazimaNIDA usiku wa manane
Wakuu lindo vipi jema..?