Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Mpaka lini?
[emoji23][emoji23] toa msaada sasa atakwasauti ita wezi kama kupambana unaogopa babu au upotinga leo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daahhHuyu mwenye dirisha anajikutakaga keki mwanaharakati Fulani hivi much know anapenda kunitolea kama mfano mbaya akiongeaga na watu anadhan sijui hao anaongea nao wananiambia acha tu kesho nitaenda kumpa pole
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajasema chochote so far. Unless zoezi ni la awamu.Walisema au unahisi maana sijasikia tamko tena zaidi ya lile la chuma?
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo leo ndio payback yake anapata kwa aliyokufanyia.Huyu mwenye dirisha anajikutakaga keki mwanaharakati Fulani hivi much know anapenda kunitolea kama mfano mbaya akiongeaga na watu anadhan sijui hao anaongea nao wananiambia acha tu kesho nitaenda kumpa pole
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechoka kuwasiliana nami? Unataka wanizimie?[emoji44][emoji20]TCRA wanasubiri nini?
Nilichosikia ni kwamba zoezi ni endelevu halina muda maalumu wa kujiandikisha kwa wale watakao fungiwa kwakuwa hawakujisajili wataendelea kupata huduna hiyo kama kawaida.
Mie nipo sina neno nilikuwa nasubiria kuzimiwa line kama nausubiri mwaka vileHi chiqutita nakuona unasneak.
Chagua kati ya Chikutita na Tshala mwanaHivi hapa hakuna mrembo yoyote alie kosa usingizi aje PM?
Umechoka kuwasiliana nami? Unataka wanizimie?[emoji44][emoji20]
[emoji23][emoji23] kusajili kila mtu atasajili tu swala ni muda tu.Mie nipo sina neno nilikuwa nasubiria kuzimiwa line kama nausubiri mwaka vile
Itakuwa ngumu sana, utakuwa umechukia vile hawajafunga si hunipendi
Itakuwa ngumu sana, utakuwa umechukia vile hawajafunga si hunipendi
[emoji3][emoji23] huwa unanichekesha mtaa wenu kila siku wezi!!!00:17
Nimechungulia dirishani nimeona wavu wameuchana kwelikweli hata kwa mbali unaweza ona kwa mbali ndani huyu watakuwa wamemsafishia room ila wale guardian angel .au..noble soul wawili siwaoni tena ngoja tuone kesho
Sent using Jamii Forums mobile app