chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
Kwanini umehisi hivyokaribu lindoni unaonekana uko humble sana ww?
Kwanini umehisi hivyokaribu lindoni unaonekana uko humble sana ww?
Mimi nilichelewa kupata namba ya NIDA maana sehemu niliyosajilia sio ninayokaa ila ni kama miez minne au mitano niliipata. Nilisajili line moja zingine nikaachaDaah aisee,line zangu nilizisajili siku ya pili baada ya zoezi kufunguliwa na kampuni za simu pale mlimani city na vodacom nilikuta mmoja anasajili,Airtel sikukuta mtu na tigo nilikuta wanne tu......
Okay,siku nyingine usipende sana deadline mkuuMimi nilichelewa kupata namba ya NIDA maana sehemu niliyosajilia sio ninayokaa ila ni kama miez minne au mitano niliipata. Nilisajili line moja zingine nikaacha
True mkuu.. nitafanya hivyoOkay,siku nyingine usipende sana deadline mkuu
Hahahaha ,duh na huko baracuda ndio wapi ?Ndio wapi hapo? Wengine tuko free muda huu sio mbaya ukilocate tukajiongeza tunaoweza.
Mi nipo Barakuda The Great hapa
Hahahaha mie line yangu haihitaji kusajiliwa bongo ishasajiliwa internationalNasikia umesajiri line mupya ili kunikacha[emoji6]
Hahahaha, nyie wananchi wanyonge ilitakiwa mchangamke fastaNyie watu wazito bana
Na mshukuru sio mbaya zinasonga mdogo mdogoHakika Mungu ni mwema. Maisha yamenibana best. Vipi mishe zako zinasonga vyema?
Naona kumbe wametusamehe wanyonge..Hahahaha, nyie wananchi wanyonge ilitakiwa mchangamke fasta
MTC | 101| [emoji769]
HahahahaNaona kumbe wametusamehe wanyonge..
Kua mnyonge ni laana
Nimekuona wakati unaingia nakusalimia naona kimyaa...