Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Dah acha nilale nasinzia kabisa yaan usiku mwema.
Dah acha nilale nasinzia kabisa yaan usiku mwema.
Alikuwa wolf mithil kama wa Lord command johnAlikuwa ni mmoja au pack nzima? [emoji38][emoji38][emoji38]
Hatujambo karibuHamjambo humu ndani.
Malindo yako poa?
God save us
Acha roho mbaya vyuma havijakaza.....Dah ..ama kweli vyuma vimekaza[emoji56][emoji56][emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
Nakusanya silaha walinzi wakalale sasa
Usingizi mwema sisi tunakulinda mkuuGuys mbaki salama aisee ngoja niforce kulala
Mhenga hata kwako vimekaza?!Dah ..ama kweli vyuma vimekaza[emoji56][emoji56][emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
Mkuu lindo ndiyo limechanganya sasa usikusanyeNakusanya silaha walinzi wakalale sasa
Habari ya asubuhi Mhenga
Habari ya asubuhi Mhenga
Powa, nafunga lindo