JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Yah tena nilikuwa napenda dini sana muda huo so haikuwa ngumu kabisa .
Na ww kumbe ulipiga hayo mavitu wakati naanza aah nilikuwa naona simo gani tena hili! mbona matatizo tukawa tunakimbia lakini ikawekwa sheria wakristu wote kusoma lazima basi nikawa naingia kusoma kilazima baadaye nikawa navutiwa sana na hadithi za mule ndio nikaanza nakujia sass.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh yes english version is way more better . hivyo chagua version inayoeleweka maana kuna king james .
Huu mwaka Bible ya kingereza sijasoma kabisa nasoma ya kiswahili lakini my Mom aliniambia ya kingerereza ndio nzr zaid kunshinda ya kiswahili kuna maneno kutafsiri ni mtihani fumbo lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom