Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,952
Weka tu 30 min hapo hadi nibembeleze usingz
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo una one hr tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo una one hr tu.
Yaan kelele zote zile lakini church unasinzia.
Nimeacha moro Bible yangu hizi ndogo ndogo sienjoy kabisa kusoma.Ooh yes english version is way more better . hivyo chagua version inayoeleweka maana kuna king james .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeacha moro Bible yangu hizi ndogo ndogo sienjoy kabisa kusoma.
Nasikia haina vinanda na nn i wish one day nihudhurie ibada zenu.
Nishazoea kubwa yale maandishi yamebanana sana mule kwenye kile kidogo.So umezoea kusoma na bible kubwa . mm nazipenda naona zipo portable .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia haina vinanda na nn i wish one day nihudhurie ibada zenu.
Inabidi siku niudhurie ibadaKinanda kipo ila hatuchezi au praising ya nguvu hatuna so wakati wa mahubiri ndo tunadozi hapo .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishazoea kubwa yale maandishi yamebanana sana mule kwenye kile kidogo.
Nitaenjoy mahubiri ndio nitakuwa nayo makini najua nitapata ladha tofauti hapo.Karibu siku moja wanajua sana biblia n km unapenda nyimbo utaenjoy .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninayokubwa kabisa ya Kingereza kabla hata sijaenda O level ilikuwepo om saiz imekuwa yangu kabisa.Ooh sawa mm nataka ndogo ya english . hii ya kiswahili inanifanya niwahi kusinzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaenjoy mahubiri ndio nitakuwa nayo makini najua nitapata ladha tofauti hapo.
Sema kurudi ile mchana sitarudi nitakimbia kwakweli maana mm ni mvivu.
Ninayokubwa kabisa ya Kingereza kabla hata sijaenda O level ilikuwepo om saiz imekuwa yangu kabisa.
Saa 10 nitazima kilakitu nitalala.
Sema kurudi ile mchana sitarudi nitakimbia kwakweli maana mm ni mvivu.
Mm sibaki nasemaga siwezi kumdanganya Mungu eti npo kanisani wakti nawaza mmbo mengine huwa nabaki tu home after .
Sent using Jamii Forums mobile app

kumbe na ww ilehali inakushinda.