Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120
Nitakugawia usijali
Ulikuwa unanyata eneo la lindo unategea mshahara wako lazima ukatwe mwezi huu.
Ulikuwa unanyata eneo la lindo unategea mshahara wako lazima ukatwe mwezi huu.
Fydell ndoa yako na ronny itakua lini sasa..![]()
itakuwa kama bonus kwangu.
Hapana sio hakiyangu hiyo tutaitoa sadakaHaki yako
Hapana sio hakiyangu hiyo tutaitoa sadaka
Haha mm napenda ubwabwa
Napenda lakini hii yako sijavutiwa nayo.Hupendi zawadi huh?
Pole yake aisee. Ila kawiki tu avumilieAli misbehave somewhere wakampa..
Uko gud?12:25
Napenda lakini hii yako sijavutiwa nayo.
Hakuna neno, nimekuelewa.

Nimeweka playlist ya blues 200+ burudani toka kwa Judy bautcher,james ingram,lionel richie,don William,Julio Iglesias,Enrique Iglesias,Celine, Marvin Gaye,George Bolton,Carey mariah,Baby face na wengine wengiii....
I wish tungekua wawili hapa twaburudika
Tafuta mtu wakudance naye sasa blue's huwezi cheza pekeyako mzee.Nimeweka playlist ya blues 200+ burudani toka kwa Judy bautcher,james ingram,lionel richie,don William,Julio Iglesias,Enrique Iglesias,Celine, Marvin Gaye,George Bolton,Carey mariah,Baby face na wengine wengiii....
I wish tungekua wawili hapa twaburudika
Hapo asubuhi itakukuta bado wasikiliza hivyo vibao mutual toka kwa hao wasaniiNimeweka playlist ya blues 200+ burudani toka kwa Judy bautcher,james ingram,lionel richie,don William,Julio Iglesias,Enrique Iglesias,Celine, Marvin Gaye,George Bolton,Carey mariah,Baby face na wengine wengiii....
I wish tungekua wawili hapa twaburudika


