Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,134
- 6,419
Lindo mbona limefungwa mapema... Vibaka wapo likizo?
Tuchukue dakika 5 kwa kumuenzi popo na mlinzi mwandamizi..
Hon. Goddess kwa kupigwa Ban ya wiki



kawasha moto.Hakuna kulala.Leo naweka kambi mpaka majogoo
Nakuona hapo ushachukua detail ya kwanza na silaha yako tayari kwa kazi. 😊Leo naweka kambi mpaka majogoo
Ali misbehave somewhere wakampa..Alifanya nini mwandamizi wetu mpaka akapewa hiyo adhabu?
Gud tu.Habari za humu ndani na week end hii
Ndio mida hii.
Ronny2010 nakuona unapita kimya
Gud tu.Habari zenu kwa mpigo humu
Nipo nilikuwa nasubiri kuongeleshwa.....asanteee
Sent from my SM-G973F using Tapatalk