JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ww nenda kabishane na goole kwenye picha niliokutumia umeona initial release ni lini?!
Umepotea ww [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] movie ziko mbili mpya ni Angel has fallen.
IMG_20191225_024458_233.jpeg
 
Kama hii alita battle sikumbiki hata kisa chake nn nakumbuka wakiwa wanacheza tu ulemchezo wao wa kukimbizana na viatu vya mataili.
Alita battle angel si machines pamoja na watu

Robot iliokotwa baadae ikafall na binadamu

Then anakuja kua killer agent

Anaingia kwenye mashindano
Anashinda
Na bwanaake anadead licha kua robor na yeye
 
Umepotea ww [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] movie ziko mbili mpya ni Angel has fallen. View attachment 1302894
Ww umepagawa eeh

Kwani unaongea nn?! Mpya ni ipi?! Nmekuonesha nn halafu unaongea nn au haturlewani?! Kuna angel has fallen iliotoka january mzee?! Au tulikua tunaongela nn maana sikuelew tena

Angalia toka kule juu ulikua unaongelea nn naona unanichosha u ongo[emoji38][emoji38]

Ebu rudi juu mpaka hapo utaona nilika nakuelekeza nn
 
Basi mama usingizi unazani ni mchezo nimekuelewa huu mkesha ni vichesho tupu Leo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom