Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
AahSilagi wali mm ugali tu kama msukuma

AahSilagi wali mm ugali tu kama msukuma

No2 koreaWanasema eti hz ndio movie kali za mwaka huu Goddess ipi ujaiyona hapo Da'Vinci View attachment 1302881View attachment 1302882
Ww nae ebu acha kuona angel has fallen si imetoka mwez wa7 sijui wa6Sio ya mwaka huu kuna ile mpya inaitwaje vile ngoja nichungulie google kwanza.
Tatizo wewe sio mfuatiliaji wa comics..(Sio tv adaptation)Joker hata sio nzuri mm nmeona mbaya tu
Hiyo the first love si ya kitambo.. ila ni nzuri japo imekaa kitotoNo2 korea
No6 thailand
Zakichina znajulikana hapo
Afu hawajaiweka..Kweli kabisa.
Hmm sio niyamuda hiyo unasema American has fallen we zipo 3 hiziWw nae ebu acha kuona angel has falken si imetoka mwez wa7 sijui wa6
Kama hii alita battle sikumbiki hata kisa chake nn nakumbuka wakiwa wanacheza tu ulemchezo wao wa kukimbizana na viatu vya mataili.No2 korea
No6 thailand
Zakichina znajulikana hapo
Sikuiyangalia vzr ndio maana nikalieta humu kweli kuna movie hazimo alafu nikali mno.Afu hawajaiweka..
Tafuta hiyo movie Anna hapo niyakijasusi hatari hautajuta kuangalia au pits na Trailer tu utaniambia.Afu hawajaiweka..
No hua siangaliii muvi kutokana na trela. Nitaitafuta hiyo mkuu.. ngoja niisakeTafuta hiyo movie Anna hapo niyakijasusi hatari hautajuta kuangalia au pits na Trailer tu utaniambia.
Sijaipenda mm bado navutiwa na kazi ya lateJoker movie ww mwanamke.


No hua siangaliii muvi kutokana na trela. Nitaitafuta hiyo mkuu.. ngoja niisakeTafuta hiyo movie Anna hapo niyakijasusi hatari hautajuta kuangalia au pits na Trailer tu utaniambia.
Utaniambia ukisha angalia balaa lahumo.No hua siangaliii muvi kutokana na trela. Nitaitafuta hiyo mkuu.. ngoja niisake
Tatizo wewe sio mfuatiliaji wa comics..(Sio tv adaptation)
Comics za batman na joker zinapendwa sana ndio na zinafuatiliwa sana. So ww sio mfuatiliaji kwenye muvi adaptation utaona ni uozo tu. Hata mm niliiona hivo hivo.. Bora Dark Knight
speaking about comics na animation kwa dc nipumzishe comics nasoma mpaka lesho nna apo kama2 hapa nilipo za comicsMm naongelea angel ya mwaka huu sindo ipo kwenye list auHmm sio niyamuda hiyo unasema American has fallen we zipo 3 hizi
Olympia has fallen
London has fallen
American has fallen
Kuna muvi inatwa 1787 ( ?) Paris ya 2018..ni drama tu ya marafiki watatu.. umeicheki? Ni nzuri inahusu kutendea watu wema..Sikuiyangalia vzr ndio maana nikalieta humu kweli kuna movie hazimo alafu nikali mno.
Sijaipenda mm bado navutiwa na kazi ya late
Heath ledger joker wa darknight
Huyu sijamlewa![]()
Habari ni kua yule dogo anayezaliwa kila mwaka kazaliwa tena na mwaka huu