Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] acha matusi we mwanamke.Hadhi yetu bongo movie budget m2 inatosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] acha matusi we mwanamke.Hadhi yetu bongo movie budget m2 inatosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko mm simo [emoji4][emoji4][emoji4]
Ahsante sanaPole wangu!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kiza kinene.[emoji23] ujanja mwingi mbele kiza
Ah kumbe nimeweka dau kubwa basi laki 8 na nusu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] acha matusi we mwanamke.
Hizo tuhuma utajibu mwenyewe [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan budget hata Iphone max pro hupati [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hayo matusi unajua unaleta ww?Ah kumbe nimeweka dau kubwa basi laki 8 na nusu
Tafuta hiyo movie Anna hapo niyakijasusi hatari hautajuta kuangalia au pits na Trailer tu utaniambia.
Hawawazi kwamba wao wanaamini mungu sanaaaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kiza kinene.
Ulishaiyona na ww kumbe.Ni nzuri....KGB....
Aku akija mm sipoHizo tuhuma utajibu mwenyewe [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji38][emoji38][emoji38] ukubwa jalala.Hawawazi kwamba wao wanaamini mungu sanaaaaa
Ila m kwetu[emoji23][emoji23][emoji23] ningembiwa toa hayo mamilioni unayoyapata kazi mpaka saa6 usiku?! Halafu bado unakula ugali wa shikamoo
Shubaamiti:: na mlango sifunguliwi nirudi nilipotoka na ukubwa huu
Binti wa darasa la 5 anampenda mkaka wa darasa la 7.. anastrago hadi ampate huyo mkaka star wa mpira shuleni kwao anapendwa na mademu wengi. Walikuja kukutana ukubwani ndio wakawa wapenzi.
Siera borgares she's a loser umeiona.?
Print zako zipo [emoji188] niushahidi tosha.Aku akija mm sipo
Hahaha wataactia sebleni kwenye makochi ma2 movie siku2 imeisha mzee halafu tutaweka soundtrack i play dk45 movie dk25 tumemaliza[emoji23]Yaan budget hata Iphone max pro hupati [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hayo matusi unajua unaleta ww?
Girl nikose na Stori nikose no aseeNawe kwa Romantic Stories....
Ha ha ha haaaaaa[emoji38][emoji38][emoji38] ukubwa jalala.
[emoji23]kwani ukisema atakupa hata big blust?! Hakununukii hata karanga za 100Print zako zipo [emoji188] niushahidi tosha.
Mpuuzi sana editor anaweka nyimbo dk 5 hadi 10 muda mwingine anaweka Nyimbo wakati watu wanaongea [emoji51][emoji51]Hahaha wataactia sebleni kwenye makochi ma2 movie siku2 imeisha mzee halafu tutaweka soundtrack i play dk45 movie dk25 tumemaliza[emoji23]
Kunatatizo kwani?!
Ataninunulia ukwaju.[emoji23]kwani ukisema atakupa hata big blust?! Hakununukii hata karanga za 100