JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hmm sio niyamuda hiyo unasema American has fallen we zipo 3 hizi
Olympia has fallen
London has fallen
American has fallen
Mm naongelea hiii ayo ya zaman achana nayo
20191225_022024.jpg
 
Tatizo wewe sio mfuatiliaji wa comics..(Sio tv adaptation)
Comics za batman na joker zinapendwa sana ndio na zinafuatiliwa sana. So ww sio mfuatiliaji kwenye muvi adaptation utaona ni uozo tu. Hata mm niliiona hivo hivo.. Bora Dark Knight
Mm naongelea character ya joker ninayoipenda mpaka leo ni ya ledger wa dark night
 
Binti wa darasa la 5 anampenda mkaka wa darasa la 7.. anastrago hadi ampate huyo mkaka star wa mpira shuleni kwao anapendwa na mademu wengi. Walikuja kukutana ukubwani ndio wakawa wapenzi.
Siera borgares she's a loser umeiona.?
Story ni familiar kabisa na maisha yetu ya shule [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom