Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Hii notebook ni ile ya bollywood au?!Pole.. kuna muda nachoka na actions au sci.fi naamua kuanglia vitu laini.. kama Gifted..Midnight sun..Notebook nk
Hii notebook ni ile ya bollywood au?!Pole.. kuna muda nachoka na actions au sci.fi naamua kuanglia vitu laini.. kama Gifted..Midnight sun..Notebook nk
Aah nina mwng huyo anapenda drama na romance hatari pc ukichukua ee [emoji38][emoji38][emoji38] unakutana na hayo mambo tu.Pole.. kuna muda nachoka na actions au sci.fi naamua kuanglia vitu laini.. kama Gifted..Midnight sun..Notebook nk
Umelala wwNipo ....
Embu kwenda huko nimeiyona hiyo movie unataka nikuadisie sasa?Ww unaona kweli movie imetoka mwezi wa8 ww january uliionea wapi au ww ni time traveler?!
Isijekua tunaongea na mru ambae anaweza rudi enzi za kina cleopatra
Na kessho akaenda 2080
Hollywood mzee mama.. ya 2004.Hii notebook ni ile ya bollywood au?!
Mm nazipenda shida kuzifahamu zilizo nzuri ndio shida..Aah nina mwng huyo anapenda drama na romance hatari pc ukichukua ee [emoji38][emoji38][emoji38] unakutana na hayo mambo tu.
2004 dah[emoji38] nmejua noyebook ya mwaka huuHollywood mzee mama.. ya 2004.
Kacheza yule demu aliyecheza kama christina kwenye Doctor strange
Jamani habari zenu
saiz kalala kesho nitakupa list wait.Mm nazipenda shida kuzifahamu zilizo nzuri ndio shida..
Niko poa piaNiko gud sijui ww?
Nope. Siku nikija tutaicheki wote eeh2004 dah[emoji38] nmejua noyebook ya mwaka huu
Ok..saiz kalala kesho nitakupa list wait.
Natamani nitume voice note kila saa najisahau hakuna hio kitu hapaEmbu kwenda huko nimeiyona hiyo movie unataka nikuadisie sasa?
OkyNope. Siku nikija tutaicheki wote eeh
We mwanamke ww untaka unidanganye mm kweli ww?Natamani nitume voice note kila saa najisahau hakuna hiokiti hapa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kuona sio tatizo ila huwezi sema mwezi wa 8 kua ni wa 1 labda kama umekosea ila january?! Dah[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
8 na 1 kwako no sawa?!
Mm nneisoyea bluerays nnepata mwez wa10 sijui 11 mwanzoni ndo nikaiona
Ww nenda kabishane na goole kwenye picha niliokutumia umeona initial release ni lini?!We mwanamke ww untaka unidanganye mm kweli ww?
Halafu hakuna kitu kinaitwa american has fallen[emoji38][emoji38][emoji38]Hmm sio niyamuda hiyo unasema American has fallen we zipo 3 hizi
Olympia has fallen
London has fallen
American has fallen