Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Usingizi au situation ulionayo leoDaaah mambo tight upande wangu hapa
Usingizi au situation ulionayo leoDaaah mambo tight upande wangu hapa
Kuna wapo wanao liwa na kunao wanakula [emoji38][emoji38][emoji38] mtu ananaga kaenda mkesha kanisa ghetto la mtu.Leo watu wanakula bata au wanaliwa bata?![emoji23][emoji23][emoji23]
Situation asee..Usingizi au situation ulionayo leo
Hahahahaha labda iwe imeactiwa space[emoji38][emoji38][emoji38] piga kazi director movie lazima ivunje record hii ya Avatar.
Dah na usiku huu mzee ujapata solution,mbinu mbadala au antibiotics yeyote ujatumia?Daaah mambo tight upande wangu hapa
Kutokana na hile kahawa yajana hakulala mpaka jioni yaleo kapata usingizi saa 3 saiz kalala zake huko.Hahahahahaha nyie si likua wabishi kwanza
YOUNGBLOOD yuko wap leo
Niko naitumia hapa ila sioni nafuu.. usingizi adi hamDah na usiku huu mzee ujapata solution,mbinu mbadala au antibiotics yeyote ujatumia?
Na kweli mm nna jirani anarudi saa5 au 6 usiku daily eti anapofanya kazi wateja wengi[emoji23][emoji23][emoji23] ukitajiwa eneo analofanya kazi unaweza cheka uzimieKuna wapo wanao liwa na kunao wanakula [emoji38][emoji38][emoji38] mtu ananaga kaenda mkesha kanisa ghetto la mtu.
we movie kali hiyo ww [emoji38][emoji38][emoji38] kwajeuli yako nitakupa 5% ya mauzo unanifelisha director.Hahahahaha labda iwe imeactiwa space
[emoji23]hajapitiliza kweli akhera madukani?!Kutokana na hile kahawa yajana hakulala mpaka jioni yaleo kapata usingizi saa 3 saiz kalala zake huko.
Aah uko pekeyako om?Niko naitumia hapa ila sioni nafuu.. usingizi adi ham
Hadhi yetu bongo movie budget m2 inatosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we movie kali hiyo ww [emoji38][emoji38][emoji38] kwajeuli yako nitakupa 5% ya mauzo unanifelisha director.
Nimefanya hapa..hadi ya kupaka ila wapi. Huu ugonjwa nikiupata mpaka ukae siku 3 ndio wapona wenyeweKunywa basi pain killer
Kama unazo
[emoji38][emoji38][emoji38] acha wivu sasa muache atumie fulsa.Na kweli mm nna jirani anarudi saa5 au 6 kasoro usiku daily eti anapofanya kazi wateja wengi[emoji23][emoji23][emoji23] ukitajiwa eneo analofanya kazi unaweza cheka uzimie
Najua tu huyu anapitia kunyanduliwa achambuliwe fudhi ndo aje kwao usikuuuu mkali
Leo ss kana saa6:25 wao ni christians wenzir wamerudi mkesha yeye hajarudi toka asubuh
Wengi ila nimerudi washalala..Aah uko pekeyako om?
[emoji23] ujanja mwingi mbele kiza[emoji38][emoji38][emoji38] acha wivu sasa muache atumie fulsa.
PoleNimefanya hapa..hadi ya kupaka ila wapi. Huu ugonjwa nikiupata mpaka ukae siku 3 ndio wapona wenyewe
Hata nitumie dawa vipi siponi..
Huko mm simo [emoji4][emoji4][emoji4][emoji23]hajapitiliza kweli akhera madukani?!
Christmas mbaya zaidi toka niijue dunia ni hii.. maana nimeshikwa na ugonjwa unaonitesa zaidi pindi nikiupata..
Hapa niko njiani nimetoka kanisani lakini hata misa sijaifurahia maana muda mwingi nilikua nje tu naugulia maumivu.