Safi my dear. Habari za hapo ulipo na mazingira yakuzungukayo?
Usiku mwema, ngoja nipumzike.
Hujambo Aurora??
Sio Poa Dr ..kuna mtu alisave kabisa akaja nayo PM eti hii picha imenibariki. LolMimi wakwanza![]()
Hata wakisambaziana ni ngumu kujulikana maana muda huo sura inakuwa haionekaniWana save halafu wataanza kuzambaziana.
Unashangaa kaka/dada yako anakuja kukuuliza, unaijua JF?![]()
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuu😂😂😂😂😂😂
Hahaha,labda ilimbariki kweliSio Poa Dr ..kuna mtu alisave kabisa akaja nayo PM eti hii picha imenibariki. Lol
Lep mpo mkesha wote dah??!
Leo utachat na mimi, na sisi tunakeshaMm nateseka
ntachat na nan ss hapa
Afadhali kabisa dah