Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Post # 72201
Alikuwa na swali sijui kapotelea wapi tena Ronny2010
Alikuwa na swali sijui kapotelea wapi tena Ronny2010
Nyamongo hapa Tarime,karibu sanaKarare chacha sema terime uongo[emoji38][emoji38][emoji38]
Nitofauti na huku wale nimbegu nyingine kabisa na hawawezi hata kuishi huku coz mazingira ni tofauti kabisa.Yale makuku/mabata wanayokulaga wenzetu wa mbele huko...wakati wa Christmas yanaitwaje kwa Kiswahili...
Na wanapatikana huku nyumbani?+
Hahahaha lalaMtaji wenyewe njiwa
Iloo [emoji38][emoji38] eti kama umrona ukweli ukakimbia mwenyewe
Vp kahawa bdo inakupeleka
Me siwezi kutishika....sina cha kuhofiaTunakutisha wewe
Ni episode 10 Nimedownload teyari.Super Villain
Series inaendeaje
[emoji3][emoji3][emoji3] nyie ndio wale mnapitaga juu kwa juu eeh?
Natafuta mkuraya wakudate nae ili nihakikishe kua hawako romanticNyamongo hapa Tarime,karibu sana
Mabibi na mabwana nawatakia lindo jema[emoji1538][emoji1538][emoji1538][emoji1538]
Nimeshakujibu teyari.
Afadhali, maana nilikuwa nawatafuta na mimi nishereheke naoNitofauti na huku wale nimbegu nyingine kabisa na hawawezi hata kuishi huku coz mazingira ni tofauti kabisa.
Mnazingua 😀😀 afu kuna wengine wanasave kabisaTunawachora tu
poa mwananchi nawe pia.Mabibi na mabwana nawatakia lindo jema[emoji1538][emoji1538][emoji1538][emoji1538]
Mwenzio nimeaga ila kwahilo ombi lako linaweza fanya usingizi uishe kama nimetafuna mirungi vileNatafuta mkuraya wakudate nae ili nihakikishe kua hawakl romantic
Imana, vua nguo [emoji38][emoji38][emoji38]
Pamoja mkuuUlale salama mkuu
Ss hapo ushapagawa[emoji38][emoji38][emoji38] kulala haulali kesho ukiamka utafkiri ulikua unafanya kazi kwenye mradi wa SGR umechoka mpaka ubongoHamna ukweli wowote, gahwa bado ipo mwilini.[emoji26][emoji26]
Pamoja mkuupoa mwananchi nawe pia.
Hahahahaha ntaanza kukuita sonko ebu lalaMwenzio nimeaga ila kwahilo ombi lako linaweza fanya usingizi uishe kama nimetafuna mirungi vile
Mnazingua [emoji3][emoji3] afu kuna wengine wanasave kabisa