Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Wafuate tu [emoji38][emoji38][emoji38] Sio mbaya ukisheherekea ukiwa nje ya nchi ukaona nawengine wanafanyaje siku hiyo.Afadhali, maana nilikuwa nawatafuta na mimi nishereheke nao
Wafuate tu [emoji38][emoji38][emoji38] Sio mbaya ukisheherekea ukiwa nje ya nchi ukaona nawengine wanafanyaje siku hiyo.Afadhali, maana nilikuwa nawatafuta na mimi nishereheke nao
Mbona unanichonganisha sasa nitakupeleka malapa pale ww.Ss hapo ushapagawa[emoji38][emoji38][emoji38] kulala haulali kesho ukiamka utafkiri ulikua unafanya kazi kwenye mradi wa SGR umechoka mpaka ubongo
In Super Villain voice
Wafuate tu [emoji38][emoji38][emoji38] Sio mbaya ukisheherekea ukiwa nje ya nchi ukaona nawengine wanafanyaje siku hiyo.
Wale ni bata
Yy leo anastate law tu.
Mnazingua [emoji3][emoji3] afu kuna wengine wanasave kabisa
Nialike basi hata kama sitokuja kula hilo pilau.Siendi huko...nawafuata hapa hapa nyumbani.
Oohh...wanapatikana huku kwetu?Wale ni bata
Umesalewa sasa?0028
0228
hahahahahah, yaani mjadala wa kuchi umekufanya ukasahau kabisaaaaa.
Ni bata mzinga, kama unawajua.Oohh...wanapatikana huku kwetu?
Nialike basi hata kama sitokuja kula hilo pilau.
Hahaha malapa tena mm nataka kwenda sokoni pale kwenye uniform za kipekeeeMbona unanichonganisha sasa nitakupeleka malapa pale ww.
[emoji38][emoji38] nakeambia tunajionea mapya tuYy leo anastate law tu.
[emoji38][emoji38][emoji38] kwahiyo hata ukoko siwezi kula?Christmas umechelewa....Karibu mwaka mpya...
Ni bata mzinga, kama unawajua.
Ss hapo ushapagawa[emoji38][emoji38][emoji38] kulala haulali kesho ukiamka utafkiri ulikua unafanya kazi kwenye mradi wa SGR umechoka mpaka ubongo
In Super Villain voice