Kivipi?
La msingi ni kupunguza wanga au kuwa na mazoezi yanayotosha kuchoma wanga wote na baadhi ya wanga/mafuta yaliyotunzwa.
Mtaalamu Ronny2010 atanikosoa kama sijanyoosha maelezo.
Ok, na kwako pia.Usiku mwemeni wapenzi ngoja niforce usingizi
Mshukran zenu nafanya yote hata ila nna mwili mgumu mpaka na detox juu ila wapiJamani.....
Umepatia...kupunguza wanga...ila ruksa kula mafuta.
I mean ili nipate hata info tu kwa website yao ni pesa kwanza
Yap.Jamani.....
Umepatia...kupunguza wanga...ila ruksa kula mafuta.
Itani faa imefunguka nahisi na ww ni muhanga wa weight lossJaribu kufungua hapa
![]()
The Ketogenic Diet: A Detailed Beginner's Guide to Keto
The ketogenic diet (keto) is a low-carb, high-fat diet that causes weight loss and provides numerous health benefits. This is a detailed beginner's guide.www.healthline.com
Itani faa imefunguka nahisi na ww ni muhanga wa weight loss
Maana kunapindi nafulukiza hata 2 weeks ni detox na viazi vya kuchemsha aina zote tuJaribu kufungua hapa
![]()
The Ketogenic Diet: A Detailed Beginner's Guide to Keto
The ketogenic diet (keto) is a low-carb, high-fat diet that causes weight loss and provides numerous health benefits. This is a detailed beginner's guide.www.healthline.com



Nakutamania mm kwetu wengi maumbo yakibantu heri mtu uwe mnene ujue ww ni bonge moja kwa mojaHapana....nikinenepa nina 62kg.
Kawaida yangu 58-60kg
Maana kunapindi nafulukiza hata 2 weeks ni detox na viazi vya kuchemsha aina zote tu![]()
Ulaya nakula na mganda yake
Viazi hapana...acha kabisa.
Vitakusaidia kupata choo sababu humenyi tu.
Ila ni wanga nyingi sana hiyo
kumbee aisee google itaniua imagine hapa natumia apple cinder vinegar mpaka nmezoea ile ladha mbaya dahNakutamania mm kwetu wetu maumbo yakibantu heri mtu uwe mnene ujue ww ni bonge moja kwa moja
kumbee aisee google itaniua imagine hapa natumia apple cinder vinegar mpaka nmezoea ile ladha mbaya dah
Nitaisoma uzuri keshoSoma hiyo link...ikifika January anza kuifuatilia...