Designated
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 422
- 1,088
Hahahaaa kweli?!Ukifanya bila shaka hali wa shani,utakuwa mlinzi bora kabisa,na utatunukiwa shani ya ushindi.
Kwnn tucwe tunapga kura kila mwisho wa wiki tuwe tunapata walinzi bora top 3 Kwa upande wng wiki tumpe tu goddesUkifanya bila shaka hali wa shani,utakuwa mlinzi bora kabisa,na utatunukiwa shani ya ushindi.


Ina maana malkia Goddess ni mlinzi, nije kusaidia lindoHahahaaa kweli?!
Mm ni mlinzi mzuri sana karibu unisaidie ila angalia kwako pasiiibiwe
Kwangu hakuna cha kuibiwa, huwa nalala mlango waziMm ni mlinzi mzuri sana karibu unisaidie ila angalia kwako pasiiibiwe
Nothing ever seems too bad, too hard, or too sad when you've got a Christmas tree in the living room



damn.Ww hata unajani kweli?!damn.
Basi uje basi unisaidie
Pole sana mungu atakusimamia upate tahfifChristmas mbaya zaidi toka niijue dunia ni hii.. maana nimeshikwa na ugonjwa unaonitesa zaidi pindi nikiupata..
Hapa niko njiani nimetoka kanisani lakini hata misa sijaifurahia maana muda mwingi nilikua nje tu naugulia maumivu.
Ninamauwa tu hii sio siku ya matawi ww.Ww hata unajani kweli?!