Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Bora umekuja mambo zakoDaah mkuu
Bora umekuja mambo zakoDaah mkuu
Pungiza hio kitu unaweza hisi malaria imepanda kumbe kahawa![]()
Uzingizi ulikuwa unanizidia
Poa tu,shwari huko dunianiBora umekuja mambo zako
Usirudie hapo nahisi unahisi kutapika ,mapigo ya moyo yameongezeka unaweza hisi madudu wamejaa maskioni yani nziiiiiiiii nyingiNi leo tu mkuu,sirudii tena

Sema ww mchoyo unashindwa kuniletea kweli?!Niko napakuwa hii series Goddess View attachment 1301885
That's a double kick!!!Mkuu nilikuwa na akili zangu zote, halafu mbaya zaidi nililala mchana.
The blacklistNiko napakuwa hii series Goddess View attachment 1301885
Bro kuna vitu mnaweza kuvifanya maishani kama sehemu ya kazi au masikhara lakini baadae vikaja kuturn into reality. Hata humu masikhara watu wanayofanya yanawezakucreate certain kinds of intensive feelings to one another as the results baadae watu msiamini mtakachokuja kusikia au kutokeaYeaaah real kabisa.. nadhan ilikua 2016
Hata Andre na yule aliekua mke wa pili wa Lucius lyon wa Empire wameoana mwaka jana
Duniani salama kabisa sjui ulimwengu wakoPoa tu,shwari huko duniani

Usirudie hapo nahisi unahisi kutapika ,mapigo ya moyo yameongezeka unaweza hisi madudu wamejaa maskioni yani nziiiiiiiii nyingi![]()
hahahahah, ehee hebu rejesha basi.Ewaaa hapa ss ndo niliposahau kuleta mrejesho
Tutaongea vzr chember sawa bibieSema ww mchoyo unashindwa kuniletea kweli?!

Eti wamesemahahahahah, ehee hebu rejesha basi.
Ndo ukome![]()
Sawa sawaTutaongea vzr chember sawa bibie![]()
Huku ulimwenguni kilimo tu cha jembe la mkono ndiyo kivutioDuniani salama kabisa sjui ulimwengu wako