Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120
Mipango tu, subiria sikukuu ipite
We utasema tu utazipataje zikufikie zikiwa fresh
We utasema tu utazipataje zikufikie zikiwa fresh
Kuchi sio kuku wa bei ghali ndio napokataa hao kuku asiliyake ni singida sasa tatizo dar wanawatoa mbali ndio maana wanauza bei ghali natamani nikupeleke tu hapo dakawa moro ukaone kuku bei rahisi na wanakilo kuzidi hata wahuku dar.Kama hutaki sikushikii fimbo mm halagu sijakuomba uamini kama haujawahi kuona bata wa laki na nusu naomba uende niliposema uende utamkutanahisi ukikuta kuku uliezoea kumla mzima elfu8
Akauzwa 50k ndo utakojoa dagaa![]()
Siyo wote wengine bado wanazingatia maadili,hasa kama mtoto hakuja kwa accidentni kweli ila hawa wadada wa doticom kulea wanalea basi, kama sio bibi mtu basi dada wa kazi ndio anahenyeka
Kumbe...ndio G au R
Kabisa unajua unashidaSiku ya kwanza kubet siulikua unajiona utashinda kuliko kawaida?



Duuh.....huyu atakuwa ametangazwa anaongeza nguvu za kiume,maana siyo kawaida
Twende tukanunue tukikuta elfu30 tunanunua wa3Kuchi sio kuku wa bei ghali ndio napokataa hao kuku asiliyake ni singida sasa tatizo dar wanawatoa mbali ndio maana wanauza bei ghali natamani nikupeleke tu hapo dakawa moro ukaone kuku bei rahisi na wanakilo kuzidi hata wahuku dar.




Sawa haina shidaMipango tu, subiria sikukuu ipite
Wandugu hivi hili neno (slay queen) maana yake ni nini
Dar chakula nibei ghali tofauti na mikoa mingine I wish nikupeleke moro kama utakuwa tayari andaa 150k ambayo ww huku unapata kuku 3 Alafu mm nitakupeleka ukanunue kuku wa kilo 9 kwahiyo 50 each.
Huyu kuku atakuwa wa dawa,Goddess hebu tuambie ukweliTwende tukanunue tukikuta elfu30 tunanunua wa3![]()
Singida hakuna kuku wa hvyo singida kuna kuku mpaka elfu5 msimu wa mazao na wakiwa wenfi singida kuku wakiwa nadra soko kubwa mjini kuku anafika elfu 12 na hizidi elfu15 dodoma pia hvyo hvyoKuchi sio kuku wa bei ghali ndio napokataa hao kuku asiliyake ni singida sasa tatizo dar wanawatoa mbali ndio maana wanauza bei ghali natamani nikupeleke tu hapo dakawa moro ukaone kuku bei rahisi na wanakilo kuzidi hata wahuku dar.
Dar nguo tu ndio bei rahisi na vitu vya electronic tu.Duuh.....huyu atakuwa ametangazwa anaongeza nguvu za kiume,maana siyo kawaida
Singida hata buku 3 unapataSingida hakuna kuku wa hvyo singisa kuna kuku mpaka elfu5 msimu wa mazao na wakiwa wenfi singida kuku wakiwa nadra soko kubwa mjini kuku anafika elfu 12 na hizidi elfu15 dodoma pia hvyo hvyo
Comrade! Wewe ni mnaijaaSiyo wote wengine bado wanazingatia maadili,hasa kama mtoto hakuja kwa accident
Malizia sentensi,nguo bei rahisi za wanawakeDar nguo tu ndio bei rahisi na vitu vya electronic tu.
Basi! nashukuru comrade sina cha kuongezaNi synonym ya wadangaji
Hahah moro mbali hv naenda singida hio laki na nusu nakuja na kuku kama wote tena unabadilishana hata na nguo tu si lazima pesaDar chakula nibei ghali tofauti na mikoa mingine I wish nikupeleke moro kama utakuwa tayari andaa 150k ambayo ww huku unapata kuku 3 Alafu mm nitakupeleka ukanunue kuku wa kilo 9 kwahiyo 50 each.