Singida hutopata wakilo 9.Hahah moro mbali hv naenda singida hio laki na nusu nakuja na kuku kama wote tena unabadilishana hata na nguo tu si lazima pesa
Dar chakula.naguu kidogo kuliko mikoani tusiwe wanafiki
OkayKuchi ni kuku wakienyeji hana dawa hata kidogo wanachukua muda mreeefu sana kuku na kuanza kutaga tofauti na kienyeji wengine hawa ndo maana bei inakua juu na si wengi mbegu pia nadra
Kama hauamini nenda kajaribu utaniambiaDuuh
Kesha salama
Juma 3 ntakutumia picha kuku kuanzia kilo 5 na kuendelea mpaka 10 huko.Mm sitaki ss hzo stori mm napigania nachokijua maswala ya pembejeo za kilimo achana nazo tuongelee kuku
Singida hakuna kuchi kama umeona mtu anafuga katafuta mbeguLakini kuchi anatoka singida sasa usiwembishi nawe lol.
Ndio niwakienyeji.Anakuwa wa kienyeji kweli?
Basi ngoja niende ilala nikabebe second hand clothes niingie mzigoni singidaKama hauamini nenda kajaribu utaniambia
Nani kasema kilo 9 na wwSingida hutopata wakilo 9.
Basi jitahidi muangilie Depal asije ng`atwa na mbuMkuu mimi leo natoboa ozone
🤣🤣🤣it sucks waiting.
Mm sitaki picha ya kuku hao kuku wapo kisutu soko la kukuJuma 3 ntakutumia picha kuku kuanzia kilo 5 na kuendelea mpaka 10 huko.