JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji38] huyo ndo kuku anaezwa ghali kuliko kuku wote

Ss fikiria bata ghali 150
Huyu kuku atakua bei gani kama sio sawa?!

Pale kijiji cha makumbusho nje kuna rasta anauza kila aina ya ndege soge kaulize bei kama atakua nao ukikuta kichi ni elfu30 naomba nitafute nakuonheza wengine wa2 ukafuge kabisa[emoji38][emoji38][emoji38]
Acha uwongo acha uwongo jamani.
 
Acha uwongo acha uwongo jamani.
Kama hutaki sikushikii fimbo mm halagu sijakuomba uamini kama haujawahi kuona bata wa laki na nusu naomba uende niliposema uende utamkuta [emoji38][emoji38][emoji38] nahisi ukikuta kuku uliezoea kumla mzima elfu8

Akauzwa 50k ndo utashaa na roho yako[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Chikwuemeka , Super Villain
YOUNGBLOOD

Nyingine hio na bei mkapewa
Screenshot_20191224-014406.jpg
 
Back
Top Bottom