JamiiForums Usiku wa manane
Kabisa unajua unashida
The principle of favorability.
When you play cards the first time, you are almost sure to win. Beginner's luck.
Hiyo ndio principle of favorability.

Why is that?

"Because there is a force that wants you to realize your destiny; it whets your appetite
with a taste of success." 😀 😀
 
Twende tukanunue tukikuta elfu30 tunanunua wa3
Ngoja nikuambie ukweli my sis ni muuzaji waduka la pembejeo zakilimo na mifugo wakulima wake na wafugaji wake kipindi kama hiki cha sikukuu huwa wanampa nyama na mpunga Kama zawadi tatizo lako hutaki kutembea unabaki mjini tu hapa hivyo vitu vipo nje ya hapa nakama unabisha tunapokutanaga nitakupa namba zake umuulize mwenyewe.
 
Mm sitaki ss hzo stori mm napigania nachokijua maswala ya pembejeo za kilimo achana nazo tuongelee kuku
 
Back
Top Bottom