Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,209
- 40,650
😂😂kweli kabisaAweke video kabisa...![]()
😂😂kweli kabisaAweke video kabisa...![]()
Kuku kuchi anaitwaChai![]()
Asante Acha kabisa yakikukuta ni balaa bora alafu uwemjini lakini sio kijijini.Najua ushapoa...ila Pole sana.
The principle of favorability.
When you play cards the first time, you are almost sure to win. Beginner's luck.


tusamehe kaka mkubwa hizi law utatuuaUsimalize zote sasa
Hapo ndiyo ulisema nikama mbuzi🤣🤣🤣Bdo hajagika mwisho wa makuzi View attachment 1301895
Kama amekunywa nyingi inaweza mpelekea akazimia maana mapigo ya moyo yanaendaga kasi sana.

hapo yanamuenda fasta kasema namuonea huruma jamanHuwezi kosa ya kuzalisha nyingineNyingine ziliharibika.
Umelima mpunga au mahindi?Mvua zipungue kwanza.
Kama amekunywa nyingi inaweza mpelekea akazimia maana mapigo ya moyo yanaendaga kasi sana.
Kuku wa kilo6 mpaka 9 si wamejaa kisuti hapo wengi wanauzwaga barabarani waleKuku wakilo 9 tu kutembea ni mvivu sana uzito nitabu ngoja sikukuu ziishe alafu kuna mtu nitamwambia anipigie picha kuku wa kilo 9 nikuoneshe.
Kuku kuchi anaitwaView attachment 1301896
Urefu?! Sio mwili naongelea urefu mm hata bta mzinga hana mwil iwa mbuziHapo ndiyo ulisema nikama mbuzi![]()
Kilo 1 na nusu huyo.Bdo hajagika mwisho wa makuzi View attachment 1301895
Ana kilo1.2Huyu ndio ulisema ana kilo ngapi vile.
Asante Acha kabisa yakikukuta ni balaa bora alafu uwemjini lakini sio kijijini.
Kilo ngapi huyu? Zikizidi sana 5Kuku kuchi anaitwaView attachment 1301896
Usijalibu tena mzee sio chai hiyo.Nimepiga vikombe viwili,vile vikubwa.
Yani asikwambie mtu sina hata dalili ya usingizi.
Hapa nahisi joto tu na mapigo ya moyo yapo kasi..