Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Urefu ww unawaza mwiliKwenye ukubwa wambuzi hapo ndio tatizo![]()
Fikiria kuku anaeacha kishindo yukoje
Irefu qa mbuzi sio mwili ww nae



Urefu ww unawaza mwiliKwenye ukubwa wambuzi hapo ndio tatizo![]()



Ni muhimu kutunza mbegu ulizotengeneza mwenyewe,baadaye zitakusaidia........Natafuta Mbegu kwa matumizi ya baadae...
Nilifanikisha nilitoka saa 1:30 lakini sikulala tena nikaja kulala saa 4 usiku jana.
Uvivu huo wakulima wasikuhizi mtaki kabisa kwenda shamba.Siendi Shamba...niko likizo mpaka 2020
Hujakosea bro.Kama sijakosea hii ni moja ya mistari kutoka kwenye kitabu cha Alchemist
Ni muhimu kutunza mbegu ulizotengeneza mwenyewe,baadaye zitakusaidia........
Toka uko subiri kahawa ikuzimishe![]()
Uvivu huo wakulima wasikuhizi mtaki kabisa kwenda shamba.
Merry christmassTena we mwenyeji wa enzi hzo na kina dingimtoto ndo unafungua mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujakosea bro.
Kuku wakilo 9 tu kutembea ni mvivu sana uzito nitabu ngoja sikukuu ziishe alafu kuna mtu nitamwambia anipigie picha kuku wa kilo 9 nikuoneshe.Urefu ww unawaza mwili
Fikiria kuku anaeacha kishindo yukoje
Irefu qa mbuzi sio mwili ww nae![]()
Hahahaha wewe mrembo upo!
Merry christmass
Kama amekunywa nyingi inaweza mpelekea akazimia maana mapigo ya moyo yanaendaga kasi sana.Toka uko subiri kahawa ikuzimishe![]()
Goddess hebu tuwekee picha ya hicho kiumbe
Bdo hajagika mwisho wa makuziKwakweli bado hujanishawishi![]()
Usimalize zote sasaZimeishaaaaaa