Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Kabisa.Maana kuwa na nguvu ni kitu kingine na kutumia pia ni story nyingine
YeahKabisa.
Naona speed inapungua taratibuMmelala ghafla
Umekaa pembeni sana sogea jirani.
Hii ndo mida ya wanga kuja kutuchezeaNaona speed inapungua taratibu
Wengine labda hao.Mmelala ghafla
Nipo, nilikua nafanya mambo yangu😀😀
😂😂😂kulisha nyama za binadamuHii ndo mida ya wanga kuja kutuchezea
Salama mkuu?Wengine labda hao.
Mkuu, amani pande hizo?😂😂😂kulisha nyama za binadamu
😀😀😀au ulienda kuchimba dawa ndiyo ukaipitia simu mkuuNipo, nilikua nafanya mambo yangu😀😀
Dah uwezi amini kuna mwanga alitaka kunichezea yaan mwili unasisimka ghafla tu bila sababu ya msingi ndio maana nilikuwa kimya for a while nikapiga na ibada kabisa.Hii ndo mida ya wanga kuja kutuchezea
Niko frsh kabisa.Salama mkuu?
Shwaaari kabisa MkuuMkuu, amani pande hizo?
😂😂😂😂Kwisha habari yako 😀
Kama hujasinzia lindoni, jitokeze.